cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,118
- 1,797
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu
Wataalamu wa sheria , naomba kufaham faini anayostahili kulipa mtu wa boda endapo atakutwa na makosa ma nne
Au mtu wa gari anayeweza kukutwa na makosa ma nne
Nimeamua kuandika uzi huu sababu kumekuwa na mabishano mtaan, wapo wanaosema hata ukikutwa na makosa 20 faini ni ya kosa moja
Na wapo wanaosema faini inalipwa kulingana na idadi ya makosa
Sasa ukweli umekaaje juu ya swali langu?
Nafunga uzi.
Asanten