Hivi sheria inaziwia kufanaya biashara ya Mali asili kihalal?

Hivi sheria inaziwia kufanaya biashara ya Mali asili kihalal?

ABDULYKARIM1

New Member
Joined
Apr 19, 2018
Posts
1
Reaction score
0
Mfano mwezi ulioisha nilifatilia kibali cha kusafirisha kenge nje ikashindikana ila nikaambiwa watu wa zuu pekee ndio wanapewa lessen za kusafirisha wanyama ila mim nasemea kenge sijui kama kenge ni mnyama ila najua ni mdudu swal langu kwenu naomba mnisaidie kama kweli sihaki yangu kusafirisha kenge nje kihalali ao kuna utaratibu mwingine natakiwa niufate asanten
 
Back
Top Bottom