Mfano mwezi ulioisha nilifatilia kibali cha kusafirisha kenge nje ikashindikana ila nikaambiwa watu wa zuu pekee ndio wanapewa lessen za kusafirisha wanyama ila mim nasemea kenge sijui kama kenge ni mnyama ila najua ni mdudu swal langu kwenu naomba mnisaidie kama kweli sihaki yangu kusafirisha kenge nje kihalali ao kuna utaratibu mwingine natakiwa niufate asanten