Hivi sheria katika nyanja ya teknolojia na mawasiliano hazihitajiki kwa sasa kweliiiii..??

MdugeH

Member
Joined
May 25, 2013
Posts
61
Reaction score
23
kwa sasa tuna online-banking, ATMs, mobile banking, electronic billing systems n.k.. Ni Muongozo upi/Sheria ipi inaratibu mambo haya hasa inapotokea kuna mushkeli???? Wapi Waziri wa katiba na sheria na Mwanasheria Mkuu wa serikali????
 
It is real a problem. Cyber laws are need in this country now. Almost 4 or 5 acts are needed to be enacted in this bunch of cyber laws.
Lakini wahusika wanavaa suti tu bungeni, bila kufanyia kazi jambo muhimu kama hili.
 
kwa sasa tuna online-banking, ATMs, mobile banking, electronic billing systems n.k.. Ni Muongozo upi/Sheria ipi inaratibu mambo haya hasa inapotokea kuna mushkeli???? Wapi Waziri wa katiba na sheria na Mwanasheria Mkuu wa serikali????

Pia waandike sheria ya spammers, na viruses na kukosa welimu kwa watu.kwani maeneo mengine si ya tuu uhalifu bali ya kupashana habari.
 
Ni kweli.. wenzetu Afrika ya Kusini, Marekani, UK, India na kwingineko wameshafanya mabadiliko makubwa ( Cyber crime Laws).. Sisi bado tunasinzia ilhali teknolojia haibagui watu..
 
Business as usual.. inasemekana mwanasheria mkuu amewahi kuulizwa na mtafiti mmoja(researcher) kuhusiana na sheria hizo(cyber laws) hasa kwenye eneo la wizi wa kimtandao akasema " hajui chochote kuhusu hilo".... Inasikitisha sana.. ila itafika wakati wataelewa tuu..
 
Back
Top Bottom