Hivi sheria na matumizi yake ni kipi kinatangulia?

Hivi sheria na matumizi yake ni kipi kinatangulia?

makesy

Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
75
Reaction score
32
Habarini za asubuhi

bunge la juzi tuliona marekebisho ya sheria ya kuajiri mahakim waliohitim chuo kikuu kuendesha kesi katika mahakama za mwanzo lakini kabla ya marekebisho hayo tayari serikali imeshaajiri watu hao tayari, pia tumeona spika akiifuta kamati ya POAC ambayo ipo kisheyia bila sheria hiyo kufanyiwa marekebisho hii ikoje?
 
Back
Top Bottom