MeinKempf JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 11,093 Reaction score 7,229 Jun 15, 2013 #1 Kuna sheria ipi ya madhara mabayo inaweza kutumika kumsaidia mtu kama lwakatare na kesi inayomkabili kama akishinda ? na anaweza dai kama kiasi gani cha fidia kutokana na madhara hasa ya kiafya na kisaikolojia aliyoyapata?
Kuna sheria ipi ya madhara mabayo inaweza kutumika kumsaidia mtu kama lwakatare na kesi inayomkabili kama akishinda ? na anaweza dai kama kiasi gani cha fidia kutokana na madhara hasa ya kiafya na kisaikolojia aliyoyapata?