Hivi sheria ya nchi inaruhusu kurushwa maongezi ya simu bila ruhusa yako

Hivi sheria ya nchi inaruhusu kurushwa maongezi ya simu bila ruhusa yako

Wamajanga

Senior Member
Joined
Jun 24, 2014
Posts
133
Reaction score
47
Ni hivi unaongea na mtu wa njia ya simu kwa kawaida halafu yeye anakurekodi baadaye anakurusha katika redio bila ruhusa yako.

Na redio inayoongoza ni clouds fm katika kipindi chao cha XXL kipengele cha U HEARD
 
Unaongea upumbavu gani hapa wewe ???? Kwani kuna msanii asiyemjua Soody Brown shenz type usitujazie server na thread za kisenge......nyaji
 
Back
Top Bottom