Hivi Shetani yupo kwenye internet?

bablon6

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
630
Reaction score
566
Nawasalimu kwa jina la bwana

Ni jana tu
Nikiwa napita pita kwenye akaunt za kutisha tisha (napenda sana vitu vya kutisha).Nikakuta kwenye akaunti moja wameandka

"Ndani ya enternet kuna Email ambayo itakupeleka mpaka kwa mzimu unaoitwa RAPHELEH SANTAS mzimu huu kazi yake ni kukuangamizia mtu aliekukosea ila baada ya kukufanyia kazi Malipo yake Atakua anakutokea mpaka utakapo kufa"

Nimejaribu Kumuuliza MD wa hiyo akaunti anipe Email naona kama Hataki.Sasa nauliza je? Kwenye enternet kuna mizimu?


Siku njema wote[emoji4]
 
Nenda kamwambie malaika mkuu atayakemea hayo mashetani
 
Hapo ndo napo pagawa malaika ntampata wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…