Hivi shida ni nini? Kila mahusiano nikiingia nikijaribu kutumia namba ngeni kumtongoza mpenzi wangu anakubali

Kwa mfano na wao wangelitumia namba ngeni kama mademu kukutongoza ungalikataa??
Kuna mambo kama mapenzi hayajaribiwi,kama wangalikuwa wazito kukutaa hata wewe usingewapata,mana naamini wewe sio wa kwanza kwao.
Hiyo ndio asili ya mwanamke alivyoumbwa,ndi mana sisi watu wa imani kama waislam tunaamini utulivu wa mwanamke unapatikana kwa kumdhibiti na sio kumuacha huru kiasi cha kupitiliza mana hao ni viumbe dhaifu sana.
 
Hapana. Kwa case ya huku kaka kama ni kweli basi wanawake zake wapo kimkakati. Huwezi mkubalia mtu kijuu juu hata kumuona hujawahi zaidi ya picha tu.
We dad umeongea yan huwez amin wanakubali kabisa tena kutoka kimapenzii mtu humjui kisa kakutumia tu picha wasap
 
Utoto kivp sometime unamchunguza mtu uwe na uhakika ili hata kama unainvest kwke uinvest kihakkk
Investment๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ