Hivi shida ni nini? Kila mahusiano nikiingia nikijaribu kutumia namba ngeni kumtongoza mpenzi wangu anakubali

Shobo zitakuua mkuu,yaani unashobo kishenzi,na mapenzi hayahitaji shobo sana .Nina swali...je hao masela uliodauni lodi ulichagua wenye sura kama yako au?
 
Ilikua tabia yangu zaman[emoji23] nahisi ulikua utoto tu.. acha huo ujinga mkuu
 
Utakuwa vocal Kali sana.
 
Shobo zitakuua mkuu,yaani unashobo kishenzi,na mapenzi hayahitaji shobo sana .Nina swali...je hao masela uliodauni lodi ulichagua wenye sura kama yako au?
Hapan mabishoo afu wana hela
 
Basi hamna namna endelea kuumia na kuwaacha tu.. Maana inaonekana upo katika umri wa kutafuta mchumba.. Na katika umri huo ni wadada wachache sana wanaoweza kudate na mwanaume mmoja.. Wengi wanahofia kuwa na mwanaume mmoja anampotezea muda baadae anakuja kumuambia wewe sio type yangu.. Ndio maana hawakatai mtu.. Cha muhimu wewe tafuta mke uoe.. Huyo hata ukimtongoza kwa namba nyingine akakubali atakuwa na kesi ya kujibu.. Ila kwa hawa wa tuma na ya kutolea hakuna kesi wala tatizo.. Wao nao wanatafuta waume kama wewe unavyotafuta mwanamke.
Siwez nahisi kama ananicheat
 
Hawakuulizi wewe ni nani na umepataje namba yao, je hawakupigii kusikia sauti. Ushauri wangu badili aina ya wanawake unao date nao. Mm wa kwangu huwa wananipuuuza nikitumia namba ngeni kuwatongoza
 
Inanikumbusha kitambo tuko chuo, demu anasomeshwa na jamaa yake mfanyabiashara toka Mbeya. Siku jamaa ghafla anaingia campus kumsalimia mchumba, aliambulia za uso asijue zinakotoka, sema jamaa alikuwa stable sana. Akaachana na yule demu, hadi leo amekuwa jamaa yangu sana na kanipa ramani za kutosha hapa Mbeya.
 
Mimi Demu wangu simu ngeni hapokei na halibu sms, nilishawahi kutumia namba ngeni hakupokea wala kujibu sms miezi 3 nikachoka nikaacha kumtafuta.
 
Maana yake ni low value man thats why your woman is easily accessible
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…