youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
Km analipwa pesa tatizo liko wp? Mbona enzi za Gaddafi kina Jlo walikuwa wanaenda kumuimbia yeye na family yake. Tuache wivu kila mtu hafanye anachoona ni sahihi ili mradi aingilii Uhuru wa mwengine.Wanatafuta droo mkuu si ajabu anaenda kutumbuiza sebuleni kama alivyofanya harmonize kule kwa mzee wa msoga
Yaani kuna watu wa ajabu sana!Sasa hapa naona hizi tour za alikiba zinatafutiwa njia ya kuonekana ni za uchochoroni tu ili kumfelisha maana kila akifanyacho yeye tutaambia siyo
Akili hamna hajuwe anachoongea ma star wa american wanalipwa ma million kupiga show sebuleni ,Yaani kuna watu wa ajabu sana!
Huyu dada kama co unga angekua mbali sana angekua level za kina shakira,rihana,beyonceNadhani Ray C ndiye aliyepiga show nyingi sana nje, lakini unga ulimpoteza; nyimbo zake zilikuwa thabiti sana mpaka leo.
Kina TIDKwanza Diamond sio wa kwanza kufanya show Ulaya au nje ya nchi kwa ujumla, walikuwepo akina AY, Jide, Sugu, Ray C, Mr Blue, TID n.k mtanisaidia alianza nani