Hivi shows za Marekani na Ulaya ni ishara ya kukua kwa bongofleva ama tunalazimisha kutaka sifa?

Ali kaanza kwenda amerika na ulaya kupiga hizo tour kipindi ndio kwanza unazaliwa.....ndio tabu ya nyie mliojulia mziki enzi za instagram
 
Ali Kiba kaanza kwenda Ulaya na Marekani toka wewe unafuta kamasi kwa ngumi miaka hiyo.

😀😀😀😀😀 doh umenikumbusha mbali aisee, huwezi jua mwenzio labda alikua anafungiwa kitambaa na pini ya nepi kwenye shati
 
Acheni ujinga, shoo ya kwenda kum'burudisha mtu nyumbani kwake huwa wasanii hawaziweki kwenye ratiba zao. Msitafute visingizio mapema hapa. Hebu angalieni tour za kibabe hizi hapa.
 
Ali kaanza kwenda amerika na ulaya kupiga hizo tour kipindi ndio kwanza unazaliwa.....ndio tabu ya nyie mliojulia mziki enzi za instagram
Ni kweli alianza siku nyingi na moja ya shoo zake ni hii hapa,hebu fanya kama una bando la kutosha iangalie hii,kisha angalia shoo za kiumeni za DIAMOND alizozifanya huko Duniani.
 
ALIKIBA alikuwa anaitwa Ali maulaya kwanza kwenda huko wakati simba anauza sisso so nyamazaaa
Kwa shoo za hivi ...... si bora aandae shoo hapahapa Bongo kuliko kujidhalilisha,kisha unasema umetoka tour.
 
Msanii unaingia kwenye nchi nyingine hawajui kama upo,ona kwa DIAMOND tayari wanajua kuna msanii mkubwa sana kaingia nchini kwao.
 
Sasa shoo kama hii unafanya ulaya kisha unasema umetoka tour si bora uandae shoo hapa hapa bongo tu.
Ni sawa...je hapo ni madale au kwenye nchi za watu??.......kumbuka kipindi hicho domo alikuwa anauza chupi za mtumba pale karume na wewe ulikuwa unaogeshwa kwenye kisado
 
Ni sawa...je hapo ni madale au kwenye nchi za watu??.......kumbuka kipindi hicho domo alikuwa anauza chupi za mtumba pale karume na wewe ulikuwa unaogeshwa kwenye kisado
We jamaa unajielewa kweli ........ Kwahiyo kama DIAMOND alikuwa anauza chupi Karume ndio sababu ALIKUWA HAJAZI UKUMBI SI NDIO MAANA YAKO........ Haya angalia na hii ya juzi kati nayo sijui utasemaje.........??

Ubongo wako mzito kama uji wa msibani.....msingi wa hoja yangu ni kwamba usifananishe nyakati hizo na sasa.....hata wewe enzi hizo hukuwa kama ulivyo sasa.....ndio maana nikakwambia ulikuwa unaogeshwa kwenye kisado enzi hizo na huyo jamaa yako alikuwa anauza chupi na kuiba vidani vya mama yake....so its about time.....hata shoo atakazokwenda kupiga ali sasa hazitakuwa sawa na hizo za zamani.....Acha ubishi wa kindezi
 
Sibishi na sijawahi kubisha,ila NAKUOMBA UJIBU SWALI NA ACHA KUNISOMEA RISALA. Swali ni hili, je sababu ya yeye KUTOKUJAZA WATU KIPINDI HIKO NI KWAVILE DIAMOND ALIKUWA ANAUZA CHUPI KARUME .....................INA MAANA MIAKA YA NYUMA WASANII WALIKUWA HAWAJAZI KUMBI ZA BURUDANI ......... JIBU MASWALI NA SITAKI MIPASHO.
 
Hoja yangu ulipoanza kuni'quote huko juu haikuwa kujaza ukumbi ama kutokujaza......Hoja yangu ilikuwa kwamba Ali alianza kwenda ulaya na Amerika enzi hizo kabla ya hawa unaowajua.....mambo ya kujaza ama kutojaza na sababu zake umeleta wewe...Baada ya maelezo haya naomba unapo quote watu ubongo wako usiwe mzito kudadavua mambo
 
Ulichokiandika una uhakika nacho? nihakikishie kama ulichokiandika ni sahihi na kama si sahihi narudia nimeanza kuona Jamiiforum imevamiwa.
 
Watu wanaenda kukusanya pesa zao kwa mashabiki walioko huko.

Na wewe unaogopa safari za nje?
 
Km analipwa pesa tatizo liko wp? Mbona enzi za Gaddafi kina Jlo walikuwa wanaenda kumuimbia yeye na family yake. Tuache wivu kila mtu hafanye anachoona ni sahihi ili mradi aingilii Uhuru wa mwengine.
50 cent anaendaga uarabuni anapiga show sebuleni watazamaji ni tycoons watu wanakunywa kahawa wanapiga story zao show ikiisha 50 cent anakamata mtonyo wa maana arudi kwao.

Watanzania wengi ni washamba-washamba hawana exposure at all.
 
Km analipwa pesa tatizo liko wp? Mbona enzi za Gaddafi kina Jlo walikuwa wanaenda kumuimbia yeye na family yake. Tuache wivu kila mtu hafanye anachoona ni sahihi ili mradi aingilii Uhuru wa mwengine.
uongo
 
Hoja yako ......... Kwani wewe ndio uliyeleta mada hapa ......MADA INATAKA KUJUA KAMA SHOO ZA ULAYA NA MAREKANI ZINAWALIPA WASANII WETU,halafu wewe unaongelea kitu kisichokuwepo kwenye mada upo sawa kweli,si bora ungeendelea kujificha kwa jinsi nilivyokuelewa mimi kuliko sasa kujifanya ndio wewe muelewa .......Kama ni hivo KWANINI USIANZISHE THREAD YAKO UNAYOZUNGUMZIA WASANII WA MWANZO KABISA KWENDA ULAYA NA MAREKANI,KISHA UONE KAMA HUYO KIBA WAKO ATAKUWEPO HATA KWENYE 10 BORA ????
 
Msanii unaingia kwenye nchi nyingine hawajui kama upo,ona kwa DIAMOND tayari wanajua kuna msanii mkubwa sana kaingia nchini kwao.
Unataarifa za kutosha mpaka unakosa brake
AsaNte kwa mifano hai
 
50 cent anaendaga uarabuni anapiga show sebuleni watazamaji ni tycoons watu wanakunywa kahawa wanapiga story zao show ikiisha 50 cent anakamata mtonyo wa maana arudi kwao.

Watanzania wengi ni washamba-washamba hawana exposure at all.
Tupe vyanzo taarabu zako peleka pwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…