Hivi si mliambiwa muache kujilinganisha na nchi ambazo hazitoi takwimu za kirusi!

Kiukweli ingawaji mimi sikubali nzi wa kijana ila Magufuri kwa jinsi alivyoweka ujasiri juu ya corona , aisee ni mfano wa kuigwa tofauti na hapo Tz ingekuwa uchumi wake uko taabani.
 
Hawa wapuuzi walikua wakimchafua sana Magufuli na watanzania, leo bila kujijua wanamsafisha na kumpamba, kweli dunia duara

Unaemtukana leo, kesho utatumia nguvu hizo hizo kumsujudia
We unamjua wa kumsujudia we kichwa maji..
 
Waache wale misaada yao kwanza sisi tunasonga mbele.....corrupt leaders wamepata mradi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…