Sensei Tai
Senior Member
- May 26, 2022
- 168
- 466
Zamani hizi recruiting agency zilikua na msaada sana kwa watafuta ajira lakini siku hizi nyingi zimekua na ubabaishaji.
Siku hizi zimeibuka recruiting agency ambazo zinaomba fedha kwa watafuta ajira na wengi wao ni matapeli, wanakuambia toka Tshs kadhaa tukupe nafasi na ukisema huna wakate kwenye mshahara wako wa kwanza wanakutupa.
Je, kuna recruiting yoyote siku hizi bado inafanya kazi kwa uaminifu pasipo kuomba fedha kwa mtafuta ajira?