Sensei Tai
Senior Member
- May 26, 2022
- 168
- 466
Hyo ni ya serikali ila ni janga kuu kwanza imekaa kiasala sana yani ata Website yao inazidiwa na ya mtendaji wa kataTaESA
TaESA haitoi ajira inatoa tu InternshipTaESA
Wanawapeleka wapi , ninachokifahamu ajira za nje ya nchi Kuna mda wa miezi mitatu wanakuwa wanakuangalia nawewe unawasikilizia ukiisha ndo mnaingia mezani wakupe feedback walichokiona Kwako na wewe unatoa maoni yako Kisha mabichi na mbivu zinajulikana inakuwa imeishaLakini pia recruiting agencies zimekua zikibebeshwa sana lawama kwa kupeleka wafanyakazi incompetent, wavivu, wezi na wenye tamaa ya kupata mafanikio ya haraka.
Empower nilishawahi kukumbana nao. Niliona ni wababaishajiShughulika
Empower
Ero link
Wananufaika na ma-jobless. Ukiingia kumi na nane zao, kipindi hiko, unalipa 5000 cash, ili uweze kuwa considered. Na watu wa kutosha kila siku kulipa hizo buku tani tano. Nchi hii, kila tabaka ni fursa.Empower nilishawahi kukumbana nao. Niliona ni wababaishaji