Hivi siku unagundua hili utafanyaje?

Sharo hiphop

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
660
Reaction score
104
Mamaako anatembea na mtu mwingine wakati babako yuko hai na anampenda sana mama.
 
Wewe Sharohphp...lol... Story zako unazitoa wapi??? or should i say what are you thinking,,,,lol.... Umetoa ya baba na mtoto sasa ya mama eeh.. haya basi ngoja tusubiri...
 
Huna haja ya kujiumiza,maisha ya wazazi wako hayakuhusu we endelea na mambo yako,huna mamlaka ya kumpangia mama yako aina ya maisha,mwachie hiyo issue dingi tena usimwambie,ishi like nothing goin on!!
 
Wewe Sharohphp...lol... Story zako unazitoa wapi??? or should i say what are you thinking,,,,lol.... Umetoa ya baba na mtoto sasa ya mama eeh.. haya basi ngoja tusubiri...

ukweli da asha, haya ni mambo yanatokea, na sisi kama wasomi lazima tushauriane, mtu anaweza kukutana na kisanga kama hicho akaharibu, so nafanya hivi ili tuelimishane, sina nia mbaya.
 
ukweli da asha, haya ni mambo yanatokea, na sisi kama wasomi lazima tushauriane, mtu anaweza kukutana na kisanga kama hicho akaharibu, so nafanya hivi ili tuelimishane, sina nia mbaya.

Tuelimishe basi msomi!
tunakusubiri kwa sababu pamoja na kuuliaza lakini lazima una primary idea ya solution.
 
Asha D. MBONA IMEKUUUMA? AU NA WEWE UNACHAKACHUA NINI? WACHA WATU WACHANGIE MADA!
 
kwani angekuwa babako ndo ana affair ungefanyaje ndugu?
 
Mada zingine aisee ni noma! ongea tu mama yako endapo wewe huna dhambi kama hiyo ,ilakama unayo hafadhali tu uwe kimya,maana binadamu siku zote ana tabia ya mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mh! mchungu
 
namsemea kwa baba

na ukijua dingi anachapa nje,vipi utamsemea kwa maza?kuhusu topic yako:binafsi nisingemsemea maza kwa dingi.Ningetafuta muda,ningemuomba maza privacy,ningemwambia ukweli kuwa tabia yake inanikwaza na kumuomba ajirekebishe.Naamini angeshtuka sana na angeona kweli nampenda kama mama yangu na angeacha kwenda nje.
 

Mkuu ngumijiwe naomba tu nichangie huku natetemeka kutokana na avatar yako....lol.Vp akikwambia dingi hana uwezo wa kutoa ushirikiano wakutosha on bed that'swhy amefikia hatua hiyo?
Kwamtazamo wangu nitaongeza kasi ya kuvileta vijarida vya ukimwi home na nikiona havileti matokeo mazuri namshawishi Doctor awe aje kunipimia NGOMA nyumbani nahisi itamfikirisha kuhusu UKIMWI na pengine nikafanikiwa zoezi langu kisomi zaidi.
 
Mwana amuulize mama y? Na hii itasaidia labda kumshutua mama ajiangalie anachofanya na kubadilika kabla hali haijawa mbaya. Au kama kachoka basi afunge vilago aondoke baba amuache
 
Nimewai kuona mtu anamtongozea ***** Bwana, yaani anatumwa na anapereka ujumbe kwa siri na wanamficha baba.
 
Nimewai kuona mtu anamtongozea ***** Bwana, yaani anatumwa na anapereka ujumbe kwa siri na wanamficha baba.

rafiki yangu sasa hapo ujue dingi keshawekwa kiganjani? Hapo ni afadhali mzee akijitoa tu, maana kinachofuata ni kuwekewa sumu aondoke duniani.
 

Ngumijiwe ujue pia kuna wamaza wengine noma tupu, utaambiwa toka fuata mambo yako usiingilie ya mamaako, utafanyaje na wewe unaumizwa na tabia yake?
 
machozi yatasaidia? Afu ukiulizwa ni kitu gani kinakufany uwe hivo utasemaje?

Machozi yanasaidia
Sana tu nikimaliza kulia
Hasira zitakuwa zimepungua au kwisha
Ntawaza vizuri..

Nanikiulizwa mmmhhh
ntasema BANANA ZORO kaniliza
Na PRESSURE..
 
Nakumbuka kuna jamaa ilimshinda akamua kufanya fumanizi la maza na jamaa, ila ilimletea shida sana maana aliwakuta katikati ya mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…