Kuna wakati huwa najiuliza huyu mwanga anayeroga akili za viongozi,mashabiki na wachezaji ni nani hasa?
Mbona mi naona Morrison bado anahitajika sana hasa kwa Simba hii?
Samahani kwa wenye chuki ila binafsi siangalii rangi ya paka ila tu kama ana uwezo wa kukamata panya.
Club ya Simba sio kikundi cha kwaya ya kisabato kiasi cha Ku demand kiwango kikubwa cha nidhamu kitu pekee anachohukumiwa nacho Morrison.
Morrison anahitajika.
Ubaya ubwela