kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Mashabiki wa simba kuna mda na shangaa nanyi saana sijui tabia zenu ziko vipi au ndo tuseme mnapenda sifa
Simba Queen ndo wamebeba ubingwa cha ajabu kuna mabwege fulani wanatukana yanga ya wanaume eti hawana lolote sijui tumebeba kombe la kimataifa sijui mtabaki kutetema apa apa tu.
Mpaka nimeshangaa saana ila ongereni na acheni tabia za kike mambo ya wanawake pelekeni kwa wanawake sio mambo ya wanawake kuyaleta kwa wanaume.