Yule jamaa hata mimi nilimuona,bwege sana yuleniliona pale uwanjani Uto wanaume wakisikitika Simba Q kubeba kombe
Sisi tutaendelelea kutetema na nyie hao Simba Queens wacha waendelee kuipandisha hadhi timu.Iwe simba queen iwe simba boys inatangaza brand ya simba na kuipandisha hadhi team yao kama kutetema taifa ndo mafanikio basi endeleeni kutetema.
Mbona unachukia kwa utani tu mkuu?Na weye tafuta lolote utanie.ππππMashabiki wa simba kuna mda na shangaa nanyi saana sijui tabia zenu ziko vipi au ndo tuseme mnapenda sifa
Simba Queen ndo wamebeba ubingwa cha ajabu kuna mabwege fulani wanatukana yanga ya wanaume eti hawana lolote sijui tumebeba kombe la kimataifa sijui mtabaki kutetema apa apa tu.
Mpaka nimeshangaa saana ila ongereni na acheni tabia za kike mambo ya wanawake pelekeni kwa wanawake sio mambo ya wanawake kuyaleta kwa wanaume.
Wana ukike ukike wao ndo hawajui sasa mwanaume kumuonea wivu mtt wa kike huoni huo ni ujinganiliona pale uwanjani Uto wanaume wakisikitika Simba Q kubeba kombe
Hata Karia, Rais wa TFF na boss wa soka la wanaume na wanawake, alifurahia ushindiSimba Queen ndo wamebeba ubingwa cha ajabu kuna mabwege fulani wanatukana yanga
Mashabiki wa simba kuna mda na shangaa nanyi saana sijui tabia zenu ziko vipi au ndo tuseme mnapenda sifa
Simba Queen ndo wamebeba ubingwa cha ajabu kuna mabwege fulani wanatukana yanga ya wanaume eti hawana lolote sijui tumebeba kombe la kimataifa sijui mtabaki kutetema apa apa tu.
Mpaka nimeshangaa saana ila ongereni na acheni tabia za kike mambo ya wanawake pelekeni kwa wanawake sio mambo ya wanawake kuyaleta kwa wanaume.
Kuwaonea wivu watoto wa kike huo ni ushoga kabisa.Ndo tabia za kike hizi
Shikilia neno 'mkazane"Sidhani kama kuna sehemu mmetukanwa, nilichokiona ni kwamba mlikuwa mnapewa hamasa ili mkazane walau hata makundi msimu huu mfike.
Ifike muda muone mpira ni zaidi ya kumfunga Simba na kuchukua ligi kuu, kuna mengi mazuri yakuyafanya kabla hujashangilia hayo.
Sasa kama wewe mkubwa bado tu una furahia kumfunga Simba, naye Gwambina afanyaje?
Gwambina awe na ndoto gani trna ikiwa wewe mipango yako siku zote ni kumfunga Simba ili ufurahi?
Hizo zilikuwa ni nafasi za timu nyingine kujiweka katika ndoto hizo, ni aibu sana kuwa katika level moja ya kifikra na timu hizo na bado unataka kuwa regarded kama mkubwa.