Mechi ilikua ya singida na sio SimbaMsimu huu tangu uanze club ya simba mechi zake zote 5 zimechezeshwa na waamuzi wa kike. Je kuna siri gani wadau
yaan bado hujasemaMsimu huu tangu uanze club ya simba mechi zake zote 5 zimechezeshwa na waamuzi wa kike. Je kuna siri gani wadau
Aahaaaaaa,subiri nimuulize muhasibu mwandamizi OKW BOBAN SUNZUMsimu huu tangu uanze club ya simba mechi zake zote 5 zimechezeshwa na waamuzi wa kike. Je kuna siri gani wadau
Thread ya Kishoga hiiMsimu huu tangu uanze club ya simba mechi zake zote 5 zimechezeshwa na waamuzi wa kike. Je kuna siri gani wadau
Mbona bado hujasema..! Utasema tu!Msimu huu tangu uanze club ya simba mechi zake zote 5 zimechezeshwa na waamuzi wa kike. Je kuna siri gani wadau
jamaa wamepanuka sana nyuma sasa hawataki tena ushindaniKilicho wafanya mfungwe na ihefu Nini? Sasa ivi tunasema hivi kila mtu ashinde match zake
Rais ni mwanamkeMsimu huu tangu uanze club ya simba mechi zake zote 5 zimechezeshwa na waamuzi wa kike. Je kuna siri gani wadau
Mganga wenu aliwaaambia mumuongeze hela mkagoma.maelekezo ya karia
maana anajua mbele ya marefa ke
penati ama red card lazima
Hatuna hofu na safari hii kwenye league tunawapiga nje ndani.Kilicho wafanya mfungwe na ihefu Nini? Sasa ivi tunasema hivi kila mtu ashinde match zake