Hivi 'single' ya Dkt. Slaa kuhusu DP World imeishia wapi?

Hivi 'single' ya Dkt. Slaa kuhusu DP World imeishia wapi?

WhoWeBe

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
2,299
Reaction score
4,282
Alikuja na single yake ya bandari kwa speed sana.

Katika kujaribu kuhakikisha inabamba vema masikioni mwa Watanzania akawashirikisha rapa kadhaa. Hata hivyo single imebuma mazima; haisikiki wala haitakiwi.

Hivi shida ni nini wadau single ile kubuma kibudu namna ile?

Karibuni.
 
Utazidi kuzeeka kwa kuandika diss za kihuni.
 
Ujinga, umasikini ,maradhi na binamu yao rushwa wametamalaki nchini,..SINGIDA mbona bado kuna umasikini wa hali ya juu?,mpangaji wa magogoni anauliza hili swali
 
Back
Top Bottom