Hivi sisi Waafrika tunafeli wapi kabisa?

Hivi sisi Waafrika tunafeli wapi kabisa?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Waafrika ivi tulivyo sisi ni mipango ya Mungu au ni upumbavu wetu tu. Unajua Mara nyingi najiulizaga.

Hivi Hawa wenzetu weupe walimpa Mungu nini mpaka awabariki ivi. Au kuna Siri gani ambayo wanajua kuhusu ulimwengu huu lakini wanatuficha sisi watu weusi.

Kila kukicha wao ndo wakuvumbuwa vitu tu Mara nuklia Mara ndege, Mara simu Uchumi wa nchi Zao ni mzuri kuliko sisi.

Hivi unahisi Waafrika sisi tunafeli wapi kabisa?
 
Sisi waafrica tumefeli kwenye mfumo wa kiutawala na wenzetu apo ndio wanapotupita kimaendeleo
 
Back
Top Bottom