Waafrika ivi tulivyo sisi ni mipango ya Mungu au ni upumbavu wetu tu. Unajua Mara nyingi najiulizaga.
Hivi Hawa wenzetu weupe walimpa Mungu nini mpaka awabariki ivi. Au kuna Siri gani ambayo wanajua kuhusu ulimwengu huu lakini wanatuficha sisi watu weusi.
Kila kukicha wao ndo wakuvumbuwa vitu tu Mara nuklia Mara ndege, Mara simu Uchumi wa nchi Zao ni mzuri kuliko sisi.
Yaani nchi kama Qatar, Singapore uchumi wao ni mkubwa kuliko wetu. Hivi watanzania tuna feli wapi? Sio wa Tanzania peke yetu, Afrika tunafeli wapi kabisa Au sisi ndo kile kizazi cha Israeli ambacho kililaaniwa na Mungu? Tunaweza kuwa tunaishi kumbe tayari tumeshalaaniwa.