Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Enzi za Musa na manabii wengine na hata wafalme walikuwa wakikosea Mungu anawaadhibu palepale na kisha Nabii anaambiw na Mungu kuwa watu hawa wamefanya machukizo kadhaa wa kadhaa.
Bali na yote walikuwa wanatoa sadaka na dhabihu za kuteketezwa. Na hapo Mungu aliwajibu kuwa dhambi zao zimesamehewa na mambo yao Yana nyooka mara dufu.
Kwa wakati huu hatuna manabii tena Bali tuna matapeli tu kwa Aina zake yanayo jiita nabii nk.
Kuanzia agano jipya ama kifo cha yesu msalabani dhabihu za wanyama zilikoma kabisa na moja kwa moja Damu ya yesu msalabani ikawa mbadala wa dhabihu(kafara) hizo ama wanyama waliokuwa wanachinjwa.
Sote tunajua hakuna mkristo tena anaye toa kafara kwa ajiri ya ondoleo la dhambi kwani yote hayo yaliishia Kalvari (Calvary).
Ninachojiuliza Tunajua vipi dhambi zetu kama zimesamehewa kweli?
Nikweli tunatubu na kuomba msamaha kwa madhambi yetu je ni upi uthibitisho wa kuwa dhambi zangu sasa zimesamehewa kabisa?
Kama nilivyo elezea hapo juu Enzi hizo mtu akiasi Mungu anampiga mapigo hadi atubu dhambi zake na akisha samehewa tu nabii atampa habari zile na kumuonya.
Mifano ipo mingi sana kwenye bibilia.
Je sisi leo hii ..........?
Kwaresima Njema.