finest na ka kiiza fanyen mpango mrud kwa mungu
NI NYINYI TU wanaume m sor baadhi ya wanaume amjatulia ata umpe afta 3minutes ya kukuomba mtamwagana au umpe afta 3yrs afta kukuomba mtamwagana pia
DURABILITY INATEGEMEANA NA MUTUAL STANDING YENU BAINA YENU+CHEMISTRY BTN U 2+INTEREST=INADERTEMINE UWEPO WENU
km ukikuta yaliyomo yamo basi ahh utatulia na msiwe bias ata kwa mademu pia ukionja ukikutafyafyafyaaaaaaaaaaaa babu doooooooro akhu lazima usepe kwa IYO SI NYINYI TU WANAUME NDO MNAOPANGA UYU NIWE NAE KWA MUDA GAN......... ni maridhiano baina zote mbili........nwai maombi mie byeeeeeeeeee
tena 2b precs ni kwamba mademu ndo wanaopanaga uyu nimwekeje ......ao wanaolilia ni wale wafanyabiashara km alikuunda kimmkukuta zaidi basi poa atakulilia afta we kukatisha tenda bt yule wa ukweli ahhhhh aaaaaaaahh atachek mara 4 4 uyu niendelee nae au niomsepeshe......DEMU NDO ANAPANGA SI MAN(naongelea mademu wa ukweli si wafanyabiashara ambao mnawapangia nyinyi uyu afta kunizungusha nikae nae au nimsepeshe afta kupata ulichotaka.........)
bt msifanye ivo si vyema ata km alikuzungusha we kuwa nae tu syo afta kupata mzigo wa wasepa.......