Hivi sisi watanzania tunakwama wapi ?

Chrismoris

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
14,113
Reaction score
17,645
Mara nyingi kama sio mara zote thread Yoyote Ya kichochezi na thread yoyote ya kuwahusu wanawake wenye misanga mikubwa kama Sanchi wanajopo wote wa kike kwa kiume huwa wanatoa promo ya kutosha sana. Mpaka Kwenye magroup Ya whatsapp atasambaza.

Tatizo linakuja pale ukianzisha uzi wa ku
1. Omba Mchango Wa Pesa kufanikisha mambo fulani,
2. Omba kusaidiwa kutangaza Biashara yako.
3. Omba kuchangiwa pesa ya ada ya mwanao.

Kwanini kwenye mambo/starehe za muda mfupi watu wanajitoa sana lakini kwa yenye tija za muda mrefu huwezi ona mtu.

Huwezi pata support kama unayopata kwenye thread za porojo


Hata Sjui Tunakwama Wapi wanajopo wenzangu.
 
Write your reply...waafrika Include watanzania au wabongo wamekuja duniani kufanya vurugu








sent by my TECNO AMBER RUTTY AG 7 using jamiiforoms app
 
Tunawaza sana anasa. Nakuzipenda pia ..especially ngono .. imekuwa ndio kipaumbele kikubwa mnoo kwa watanzania ..

Wewe angalia michango ya watu wengi wa humu tu na huko mitaani jinsi story zilivyo nadhani jibu utalipata ... ndio maana waona leo hii ni rahisi kuwa na watu maarufu type ya kina amber lulu gigy money " na watu wanawapenda hatari ..kuliko ambavyo anavyo pendwa CAG...kwanza waweza kumuuliza mtu ..proff Assad ni nani " usishangae akakujibu " mimi huko sijawahi kufika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania Bhana Mtu Anafuatilia Mapenzi Ya
Watu Kuliko Hata Afya Yake, Anaumwa Tumbo
La Kuhara Lakini Ila Yupo Busy Na Umbea
Kuliko Dozi,
Utakuja Kuzikwa Na Uharo Wako
 
Watanzania Bhana Mtu Anafuatilia Mapenzi Ya
Watu Kuliko Hata Afya Yake, Anaumwa Tumbo
La Kuhara Lakini Ila Yupo Busy Na Umbea
Kuliko Dozi,
Utakuja Kuzikwa Na Uharo Wako
Wewe raia wa nchi gani arifu ?
 
Wewe raia wa nchi gani arifu ?
Naishi
nchi ambayo mwanamke akivaa nguo fupi za
kuonyesha maumbile yake ndiye anapendwa na
kupewa like nyingi na comment nyingi za
kumsifia kwenye mitandao ya kijamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…