Elections 2010 Hivi Sitta atakuwa anamwambia nini RA?

Elections 2010 Hivi Sitta atakuwa anamwambia nini RA?

Mtu66

Senior Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
165
Reaction score
3
Hivi hawa jamaa wanaweza kukaa pamoja hivi?

Siasa za BONGO sina hamu?

Jazia maneno kwenye mazungumzo haya

8znoy9.jpg
 
Anamwambia: "mi si mbaya wako kama unavyofikiri, ee".
 
Hivi hawa jamaa wanaweza kukaa pamoja hivi?

Siasa za BONGO sina hamu?

Jazia maneno kwenye mazungumzo haya
aaahhh!!! we nawe sasa ulitaka washikiane magobole, ama watakani?
vita kwenye hoja pale mjengoni na si kukasirikiana mitaani bwanaaaaa
wa wapi wewe?????
 
Anamwambia.......... nimepungukiwa kidogo na pesa,nisaidie kidogo nikahonge takukuru kesi ya my wife wangu iishie mkuu!'.....
 
aaahhh!!! we nawe sasa ulitaka washikiane magobole, ama watakani?
vita kwenye hoja pale mjengoni na si kukasirikiana mitaani bwanaaaaa
wa wapi wewe?????

Kwa hiyo Anyisile ndo umejazia hapo!!!!
 
hapana sijajazia, ila nimejibu hapo kwenye blue!!!!!!!

OK....Unajua huwa nafikiria kijeshi jeshi hata kuandika
kwa hiyo nilijua command mwisho...ndo amri ya mwisho....Poa tuko pamoja
 
Unajua anamwambia nini?
Aaah! Mdogo wangu Rosta mbona unakasirika mambo madogo yale! Si unajua Wabongo lazima tuwapeleke hivi wajue tunafanya kazi? Lakini si umecheki tumeshinda na kama kawa mwakani tuko tena, tulia mtu wangu tuko pamoja, aah! Dogo unakuwa kama hujui....
 
Mtu66!
Hii picha ilipigwa lini? Na wapi? Kwenye shughuli gani?
Japo watu wanajibu kwa mzaha... lakini hii picha kama ni ya siku za karibuni.... imebeba ujumbe mzito sana sana!
 
mtu66!
hii picha ilipigwa lini? Na wapi? Kwenye shughuli gani?
Japo watu wanajibu kwa mzaha... Lakini hii picha kama ni ya siku za karibuni.... Imebeba ujumbe mzito sana sana!

dodoma juzi...
 
kuna mdau humuhumu jf aliwahi kuandika
''IN POLITICS,THERE IS NEITHER PERMANENT ENEMY NOR PERMANENT FRIEND''
 
Sita anasema "Bila kutoa shukrani kwa wana Tabora CCM haitaenda mbele kwani kuna jamaa toka pembeni wanakuja kasi sana kwa 'UDINI'
 
8znoy9.jpg


Mwanao kabaka mtoto wa Mugabe, imeniudhi sana mimi. Ndivyo Sitta anavyo mwambia Rostam, na Rostam anainama kwa aibu
Hivi hawa jamaa wanaweza kukaa pamoja hivi?

Siasa za BONGO sina hamu?

Jazia maneno kwenye mazungumzo haya
 
Huenda anamwambia kuwa, safari hii tukirudi mjengoni jamani nawaomba mchape kazi nchi yetu isonge mbele. Pia ndugu yangu umesikia kuwa mama alisingiziwa kuwa alitaka kuhonga wajumbe?
 
kama walikuwa katika vikao vya chama mbona mr RA hajavaa shati la kijani?
 
Anamwambia forgery BOT hakuna tena jamaa anasikitika akakwapue wapi tena make Slaa hashikiki!
 
anamwambia, Rostam Lowassa atakuponza achana nae Slaa akichukua Nchi mtaishia Segerea.
 
Dogo Rostam kuwa makini, utaambiwa siyo raia bure.
 
Back
Top Bottom