Hivi soya beans inalipa?

Hivi soya beans inalipa?

Joined
Jun 3, 2014
Posts
24
Reaction score
1
Wana jf napenda kujua kuwa soko la soya beans hivi inalipa? Nataka nianze kulima msim huu hizo soya hususani zile za njano naomba niulize haya maswali kadhaa hivi zinaitaji hali gani ya hewa ili zi stawi vyema? na zitachukua mda gani hadi nivune? Katika eneo la ekari moja naweza vuna magunia mangapi ya soya kwa kima cha juu? Kwa ufupi naombeni ufafanuzi zaidi kuhusu zao hili asanteni sana wadau Mungu atubariki.
 
Back
Top Bottom