sapira 2000
New Member
- Nov 20, 2024
- 4
- 2
Hivi jamani speed ya 1.6GHZ kwenye pc ni nzuri au sio nzuri mana nimeambiwa speed ndo iyo na Ina GB 16 SSD na ram 4 vp iyo PC Iko poa au majanga tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo apo labda vipimo vyake vianzie ngapi ya ram na internal storage yakeSio nzuri kwa Windows, unaona hiyo ni Chromebook wameinstall Windows kwa kulazimisha, Chromebook zinakuja na ChromeOS ambayo ni nyepesi lakini pia haiwezi kutumia application za Windows, Windows na 4GB ni shida, 16GB storage itakuwa imeliwa yote na Windows na hiyo processor haina nguvu kwa Windows.
Kumbe chromebook siku hizi zinawekewa windows pia. Mimi nilidhani zina runchrome os tu.Hivi jamani spread ya 1.6GHZ kwenye pc ni nzuri au sio nzuri mana nimeambiwa speed ndo iyo na Ina GB 16 SSD na ram 4 vp iyo PC Iko poa au majanga tu?
View attachment 3156930
kwahiyo apo niachane nayo sioKumbe chromebook siku hizi zinawekewa windows pia. Mimi nilidhani zina runchrome os tu.
Hii ni kwa ajili ya kuchapa na kuzunguka kwa mtandao not for heavy tasks na bila shaka itakuwa na processor zile zinaanzia na N