kibakwe Senior Member Joined May 10, 2011 Posts 171 Reaction score 22 Mar 8, 2012 #1 Nauliza zile nafasi za mwezi wa kumi 2011
Ndechumia JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,164 Reaction score 573 Mar 8, 2012 #2 mkuu hata mimi nashangaa sijui kama hawa watu waliita watu, manake nilijitahid sana kuzifuatilia m[paka nikakata tamaa nikafikir labda mambo ya vimemo. wadau hapa watatujuza zaidi
mkuu hata mimi nashangaa sijui kama hawa watu waliita watu, manake nilijitahid sana kuzifuatilia m[paka nikakata tamaa nikafikir labda mambo ya vimemo. wadau hapa watatujuza zaidi
I Innocent msokwa Member Joined Apr 12, 2012 Posts 42 Reaction score 1 Apr 23, 2012 #3 kibakwe said: Nauliza zile nafasi za mwezi wa kumi 2011 Click to expand... bado hawajaita,kuna uchakachuaji mkubwa ulifanyika ,wanajipanga kuita
kibakwe said: Nauliza zile nafasi za mwezi wa kumi 2011 Click to expand... bado hawajaita,kuna uchakachuaji mkubwa ulifanyika ,wanajipanga kuita