Hivi Steve Kanumba ana ugonjwa wa kuchekacheka au................?

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
4,433
Reaction score
1,771
Yaani huyu mwanaume mimi hata simuelewi kabisa. Sijui kaishiwa nguvu, manake lile tangazo lake la Star Times limemfanya aonekane kama punga fulani hivi. Hivi mashosti huyu ni mwanaume kweli?
 
Haaaaaaa hv bado hawajaliondoa lile tangazo? Jamaa kama boflo vile$
 
Kumbe sio peke yangu nisiyelipenda lile tangazo, lakini kwa jinsi mitanzania tulivyo itaibuka mijitu hapa na kukushutumu kuwa una chuki binafsi. Tangazo lile ni upuuzi mtupu, hata yule demu naye kachemsha tu, tangazo halina quality yoyote pumba tu. Mtakaochomwa mtajibeba huo mdo ukweli.
 
Mbona kuna jamaa anaitwa jk na yeye anacheka cheka kila wakati.
wataalamu wanasema kucheka kunakusaidia kutoa stress,
 
Yaani huyu mwanaume mimi hata simuelewi kabisa. Sijui kaishiwa nguvu, manake lile tangazo lake la Star Times limemfanya aonekane kama punga fulani hivi. Hivi mashosti huyu ni mwanaume kweli?
naona wema aje kujibu hapa kama yuko jf mana alimpitia
atuthibitishie kua jamaa punga au sio
 
Mbona kuna jamaa anaitwa jk na yeye anacheka cheka kila wakati.
wataalamu wanasema kucheka kunakusaidia kutoa stress,

Kwahiyo na wewe huwa unachekacheka au unamaanisha huwa unacheka?
 
Yaani huyu mwanaume mimi hata simuelewi kabisa. Sijui kaishiwa nguvu, manake lile tangazo lake la Star Times limemfanya aonekane kama punga fulani hivi. Hivi mashosti huyu ni mwanaume kweli?

Sasa unatuuliza sisi, nenda kajaribu ili ujue kama ni mwanaume kweli...
 
Mwee, si tunaweza kufika chumbani halafu akabaki anaichekea mashine tu. Yaani unamvulia nguo halafu ye anabaki kwaaaaaaa kwaaaaaaa kwaaaaaaa kwaaaaaa kwaaaaaa kwaaaaaa
 
Yaani huyu mwanaume mimi hata simuelewi kabisa. Sijui kaishiwa nguvu, manake lile tangazo lake la Star Times limemfanya aonekane kama punga fulani hivi. Hivi mashosti huyu ni mwanaume kweli?

Kamfuramie uone!
 
du! Kucheka kunapoteza nguvu za kiume na za kike.helimu haina mwisho.
 
Kuchora saba....

IMG_2741.jpg

Kufuramia ndiyo nini?
 
kucheka cheka hakupunguzi uanaume wa mtu japo haipendezi hata kwa mwanamke....wengine huwa wanaficha roho zao mbaya kwa kujifanya wanacheka kumbe mioyoni wacha bwana
 
yaani huyu mwanaume mimi hata simuelewi kabisa. Sijui kaishiwa nguvu, manake lile tangazo lake la star times limemfanya aonekane kama punga fulani hivi. Hivi mashosti huyu ni mwanaume kweli?

kweli, umeona ee!
 
Hiyo yakupoteza nguvu za kiume Kali.kuna jamaa anacheka cheka sana kwa hiyo ni ..............?
 
Yaani huyu mwanaume mimi hata simuelewi kabisa. Sijui kaishiwa nguvu, manake lile tangazo lake la Star Times limemfanya aonekane kama punga fulani hivi. Hivi mashosti huyu ni mwanaume kweli?

nenda kajaribu nae uje utujuze!
 
kampe kidude/kipapa uone kama ataachekacheka..
 
Wakuu mchumba kawauliza mashosti,nyie pia mnajibu jistukieni bana!
 
Back
Top Bottom