Kwa Mara ya kwanza nilianza kufahamu Steve NYERERE katika kampeni za CCM miaka nyuma akigiza sauti ya NYERERE miaka ya 2000.
Lakini katika kwa sasa hivi namekuwa nikimsikia issue yoyote inayohusu bongo movie amekuwa ni mzungumzaji au ataizungumzia kwa kuita press conference.
Lakini KATIKA pitapita zangu nimesikia KUWA Steve NYERERE hakuwahi kutoa movie yoyote ya kibongo lakini amekuwa mzungumzaji issue zote za bongo movie .
Nilikuwa NATAKA kufahamu Steve NYERERE ni nani katika tasnia ya bongo movie hapa nchini ....?
Na he bongo movie wanamtambua Steve nyerere kama nani
mkuu,wewe ni muha?Lakini katika kwa sasa hivi
Siyo rahisi muha akawa msela pale manzesemkuu,wewe ni muha?
Yeye mwenyewe Aunt Stevie siyo chakula?Sikia Madee, huyu Steve kama angekuwa demu ilibidi aitwe changudoa ama pashikuna kwa vile ni mwanamme kwa sasa mitaani anaitwa Auntie Steve. Huyu dogo ni mbea, muongo, mchonganishi, mropokaji, mnafiki, yaani ana kila aina ya sifa za kijinga za kina Mama. Anaishi mjini kwa majungu na anafugwa na baadhi ya viongozi, kwani ni yeye ndiye kuwadi wa mademu wa bongo movie kwa mawaziri na wabunge/vigogo wa hapa nchini. Huyu Auntie hana issue, watu wameshaanza kumchora kwa sasa.
ok poa mkuu.Hahaha Mimi ni mzawa wa manzese ila asili yangu ni mnyamwezi wa urambo boma village
Yeye mwenyewe Aunt Stevie siyo chakula?