Hivi Suma G uko wapi?

kichomiz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
19,257
Reaction score
12,244
Huyu jamaa nimemkumbuka na kile kibao chake cha VITUKO uswahili,
"Uswahilini ukioga mchana utaulizwa, unakwenda wapi"
"Uswahilini mtu ananawa miguu wakati miguuni hajavaa kandambili,akimaliza tu anakanyaga chini"
Huyu dogo alikuwa na kipaji sana sijui yuko wapi?ⁿ
 
Ukimpata nitafutie pia

Jose mtambo wa kigambonino
Mnyalu
Caz T
Wale wanyama wa BDP (big dog pond)
Dula soul
Na wanyamakwinqwi wengine wa jamii ya hao niliowataja
Du hao big dog pose walikuw noma sana,sijui nao wako wapi? Kulikuwa na album yao moja inakwenda kwa jina la wosia ilikuwa balaa
 
Wanakwambia.."tunawaza sana mpaka mavichwa yanaongezeka upana ...majobless jobless..."
Du hilo song lao lilikuwa noma, chini ya mtu mzima Drez chief, Rich na yule mteja
 
Mchizi mox! Hawa wakongwe waeua talent zao wenyewe
Mchizi MOX alikuwa na sauti ya kipekee, yaani angekuwa anajua angetulia na kupiga noti sana
 
Kuna picha niliiona juzi ya Suma G Daaaa kama hali NYUNGA sijui.
 
Dah Leo mchana nilimuwaza nilikuwa najikumbushia nyimbo za zamani hiyo vituko uswahilini niliimba kidogo ,nikawa natafuta nyimbo yake nyingine ilikuwa maarufu kipindi kile lkn sikuweza kurewind

Nakutana na Uzi wake saizi Suma g na hili jina nilikuwa nalivuta lkn sikulikumbuka ,kweli wazungu wanaita coincidence
 
Ukimpata nitafutie pia

Jose mtambo wa kigambonino
Mnyalu
Caz T
Wale wanyama wa BDP (big dog pond)
Dula soul
Na wanyamakwinqwi wengine wa jamii ya hao niliowataja
Umewasahau Solid ground family
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…