Hivi Suma G uko wapi?

daaan nilikutana nae maeneo ya karakata,kipawa, JKN airport ....alikuja kweny msiba kwa mjomba wake....somehow amechoka sidhani kama nguvu ya kuimba ipo tena
 
Balozi yuko kwa Trump,ila Saigon sijui kapotelea wapi
Kawa ustaadh saizi

Tokea afiwe na mama yake na mkewe ndani ya siku 2 wote kwa pamoja kachange sana kaachia udevu na ibada ibada mitaa ya sinza utamkuta kwao

Alikuwa na plan ya kufanya project yake ya video editing ,designing nk nk mambo aliyosomea sijui iliishia wapi
 
Du pole yake , ndio mana yuko kimya sana aisee
 
daaan nilikutana nae maeneo ya karakata,kipawa, JKN airport ....alikuja kweny msiba kwa mjomba wake....somehow amechoka sidhani kama nguvu ya kuimba ipo tena
Aisee anaumwa au hali ya maisha?au ndio mambo yetu ya poda?
 
Saigon amekuwa ustadh, katika huo ujinga alishajitoa kitambo na hata ukimuona siyo yeye tena.....Ni presenter wa Tv/Radio Imaan Morogoro.
Amina Mungu amjalie katika kuwajibika kwa ajili yake
 
Aisee anaumwa au hali ya maisha?au ndio mambo yetu ya poda?
mkuu suma g ni mtu wa pombe sana...wakati yuko katika ubora wake alikuwa anazitwanga pombe kupita kiasi...nimekaa nae sana huyu jamaa pamoja na soggy dog... (hot pot family) ...nafikiri sasa kipato ni cha hali ya chini ..so naona hali tu ya maisha imekuwa ngumu
 

nenda maeneo ya manzese tip top utamkuta anatafuta ile pombe ya do nyati akikosa maeneo yote
 
Cloudz inahusika 100% kupotea kwa hivyo vipaji..
 
childhood mate
played together,bullied on him a little
mwembechai in the house
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…