Hivi Suma G yuko wapi?

Hivi Suma G yuko wapi?

wasanii wakali sana walipoteana toka aibuke yule dogo wa Tandale nilishangaa sana eti hata akina Banana Zoro waliokuwa na sauti tamu kwelikweli na wao sasa hivi hakuna anaewajali wanashindwa hata kulipa Rent
 
Kazi yoyote ya kujiajiri inahitaji stratagies to achieve overall aim. Unaweza ukawa fundi wa kutengeneza furningture, lakini kujiajiri ni kipaji kingine tofauti. Tusitafute wachawi wa mafanikio yetu kisa tu tumejaliwa vipaji wakati hata hao mabilioniea wakina Elon Musk, pamoja na kwamba ni ma genius, lakini behind their success, there's big team with them.
 
wasanii wakali sana walipoteana toka aibuke yule dogo wa Tandale nilishangaa sana eti hata akina Banana Zoro waliokuwa na sauti tamu kwelikweli na wao sasa hivi hakuna anaewajali wanashindwa hata kulipa Rent
Banana yupo, anatumbuiza kwenye hoteli kubwa kubwa za Kitalii. Ndio sababu humsikii sana kwenye maisntream media
 
Wana kibao tu walipotea kimya kimya sana yani ghaflaaa

Yule mnywezi ksal... jamaa anaitwa nani aliimba mpenzi gita...
 
Suma G
My childhood neighbor and playmate
Mwembechai stand up...
 
Mbona yupo, Sema wewe tu ndo haum
fuatilii. Ana wimbo wake mpya uko youtube hauna muda mrefu, Anafanya interviews sana

Na shows anapiga. Sasa sijui ni Suma G yupi unaemzungumzia
Screenshot_20220426-171337_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom