Hivi supu ya mapupu ndiyo ya mapumbu au?

Mapupu ni mapafu yale na mabandama.
Miongoni mwa supu za bei rahisi ni hiyo ya mapupu.
Sehemu zote za uswahilini au sehemu za Walevi supu ya mapupu hazikosi.

Bei yake elekezi karibia maeneo yote ni shilingi mia Tano tu 500
Kwa hiyo tuseme mleta mada ni mtu wa kinywaji pendwa cha banana republic au!?
 
Tanzania kuna aina nyingi za vyakula na bei nzuri kuliko Nchi nyingi za SADC madereva wa kutoka Zimbabwe wakifika Tunduma wanaanza kula kwenye mabanda ya wali hayo kabla hawajafanya chochote ila kupata stamina kwanza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…