Hivi t.o csee 2012 ni nani?

Kun Jr

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
700
Reaction score
362
Alikuwa t.o matokeo ya 2012 ni nani naombeni kujuzwa pia na shule ya kwanza
 
nazan anatoka feza boys maana kuna mmoja kapata div.1 ya 7
 
Ni mdogo wangu kutoka shule ya wasiofeli aka Feza boys ana saba moja matata hana tofauti na kaka yake
 
Yule yule bwana mdogo aliyewaongoza wenzie kabla matokeo hayajasitishwa toka Feza Boys
 
hawa watoto wanavoandika unatumia mishipa mingi hadi ngiri inaweza kukutoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…