Hivi Tanzania ina Sheria kuhusu Uvutaji wa Sigara?

Hivi Tanzania ina Sheria kuhusu Uvutaji wa Sigara?

Winga dalali

Senior Member
Joined
Jul 20, 2021
Posts
196
Reaction score
265
Habari zenu wakuu,
Naomba kuuliza hivi kuna sheria yoyote Tanzania kuhusiana na uvutaji wa sigara (fegi,Chiga,mufe,filter)

1. umri sahihi wa kutumia au inaruhusiwa hata kwa mtoto wa miaka 10.

2. Maeneo husika ya kuvutia sigara,au ni ruksa popote pale .unachoma uliponunua?

3. Ni,kosa kwa afisa wa au mtumishi wa serikali kutumia sigara? Hasa hadaharani?

Naomba kujua tafadhali
 
Kuna,mwamba kachoma Winston hapa ,hata harufu ya pilau LA mchongo nililonunua sisikii radha.
Daa pole mkuu
Sheria za huko huwa kama hakuna sheria tu
Kwa wenzetu wakisema marufuku basi hilo neno linakuwa na maana hiyo hiyo

Pole kwa taftani hizo
 
Huwa inaudhi na kukera sana,

Yaani starehe kwa mwingine kero iende kwa mwingine.

Wadhibitiwe haraka.
 
Ni mara chache sana nakutana na mtu anavuta sigara njiani naona wavutaji wamepungua
 
Ni mara chache sana nakutana na mtu anavuta sigara njiani naona wavutaji wamepungua
Hawajapungua, ila wavutaji wame upgrade wako smart kuliko last era,wavutaji wengi nowadays ni wasomi both me and ke ,according to their personality and status,huwezi kuta wana smoke hadharani
 
Back
Top Bottom