Winga dalali
Senior Member
- Jul 20, 2021
- 196
- 265
Kulikua na ulazima wa kupigana?Saa Saba nimetoka kupigana baada jamaa kuja kuwasha sigara kwenye benchi nililokaa
Thread 'TMDA: Ukivuta sigara hadharani faini Tsh. 200,000 au jela miezi 6' TMDA: Ukivuta sigara hadharani faini Tsh. 200,000 au jela miezi 6 avatar yako mbayaaaaaaaaaaaa
Kulikua na ulazima wa kupigana
Haki na uhuru kwa kila mtanzania chief,Saa Saba nimetoka kupigana baada jamaa kuja kuwasha sigara kwenye benchi nililokaa
Kuna,mwamba kachoma Winston hapa ,hata harufu ya pilau LA mchongo nililonunua sisikii radha.Sheria nyingi ni za mkoloni tu
Sisi hatunaga sheria bali matamko ya kwenye maspika tu
Haki na Uhuru vimemponza. Nimempiga kofi la mdomoniHaki na uhuru kwa kila mtanzania chief,
Hakuna mahali utamshtaki,zaidi ya kusubiri busara za mvutaji.
Hajakohoa Moshi?Haki na Uhuru vimemponza. Nimempiga kofi la mdomoni
Kuna,watu washawahi kuwajibishwa kwa hizo sheria?Thread 'TMDA: Ukivuta sigara hadharani faini Tsh. 200,000 au jela miezi 6' TMDA: Ukivuta sigara hadharani faini Tsh. 200,000 au jela miezi 6
Daa pole mkuuKuna,mwamba kachoma Winston hapa ,hata harufu ya pilau LA mchongo nililonunua sisikii radha.
Hawajapungua, ila wavutaji wame upgrade wako smart kuliko last era,wavutaji wengi nowadays ni wasomi both me and ke ,according to their personality and status,huwezi kuta wana smoke hadharaniNi mara chache sana nakutana na mtu anavuta sigara njiani naona wavutaji wamepungua