Pole sana mkuu.Ila hayo unayopitia kikubwa ni uvumilivu tu yatapita.
Kama tunavyoona nchi za wenzetu hiki kitu kipo sana mfano kupitia yule mtanzania mwenzetu aliyechomwa sindano ya kifo huko ujerumani baada ya kushindwa kuvumilia tabu za ugonjwa alioupata , je Tanzania zipo hospitali za namna hii?
REFFER: https://www.jamiiforums.com/threads/ujerumani-mtanzania-afariki-kwa-kuchomwa-sindano-ya-sumu-kwa-hiari.1553256/page-7
asante.
NB: This thread is for positive minded people na sio negative, so wenye mapovu kausheni.
#Mods hii ni mada kama mada nyengine ni kitu kipo kwenye dunia yetu so ni sahihi kuwa discussed.
Huku kwetu ukitaka kuna njia mbadala kama kunywa sumu au kujinyonga kwa kamba hadi kufa hapo utakuwa umekwepa gharama nyingi na hutosumbua watu ili mradi usiache ujumbe au uache ujumbe kwamba umejiua kwa hiari yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina haja ya yote hayo unamkatia tu nesi mkwanza anafanya yake kwenye kadiripu unaenda msalimia rugemalila
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaahaaa.....Pole sana mkuu.Ila hayo unayopitia kikubwa ni uvumilivu tu yatapita.
Sent using Jamii Forums mobile app