Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Tunajua kwamba DAWASA wametangaza kwamba kuna mgao wa maji hili sina shaka nalo!
Je TANESCO wamesha tangaza kuna mgao wa umeme? Maana siku nzima ya leo umeme hakuna!
Kama kuna anajua tafadhali nijulishe na pia nipatie ratiba ya mgao!!
Hivi kweli miaka 60+ ya uhuru umeme na maji bado ni shida daaah!
Muda huu umeme hakuna mbona?
Uyu hua cmuelewagi ye huaga anaongea kinyume chake
Kwa hiyo?Maza anaupiga mwingi [emoji1787]