Hivi Tanzania kuna msanii yeyote anamzidi Ally Kiba kwa ubinafsi na unafiki?

Hana huo mda wakuangaika na washamba
 
Kiba ni kwamba ni mpole na mkimya....hanaga time ya kujigamba kuongea ongea pasipo sababu...kiufupi jamaa ni mkimya ila mziki wake ni mzuri

Mwisho wa siku tunachojali ni matunda ya mziki na sio jitihada za kufollow au kuwawish birthday wenzie
 
jamaa mbinafsi ndo maana haendelei
Nyie mnataka awe na maendeleo gani?

swali..

Vipi nyie mmemzidi maendeleo?


MNAICHUKULIAJE HII;

Mtu anayetoa msaada kwa kujitangaza kwenye media kuwa katoa mchango..
Au mtu ambaye hajitangazi kwenye media wakati akitoa mchango, Ni yupi bora hapo?


Mkinijibu hili swali hapa juu[emoji115] , Mtakuwa mmeshapata jibu la swali lenu


Umeona eeh team kibakuli hawataki kuukubali ukweli
 
Huwa hatoi michango huyo na akitoa lazima watu wajue , kwa mfano mondi juzi juzi hapa alitoa mchango wa mil 20 kwenye taasisi fulani hivi jina limenitoka kidogo, baada ya siku mbili kibakuli nae huyo akaenda kutoa mil 21 unaambiwa ile kila mtu alijua kwamba kiba katoa mil 21 ya msaada


Mondi kuna baadhi ya wanafunzi ambao ni mashabiki wake anawasomesha shule za gharama ,je wewe ushawahi kusikia hii kitu ??
Bila shaka jibu lako litakuwa ni hapana ,huu ni mfano tu kuwa mondi ni mtu wa watu na mara nyingi anasaidia kimya kimya tofauti na huyo kibakuli
 
Una kazi za kufanya we ujiulizi kwanini unatumia mudawako kumuongelea uyo no star dogo waza maisha yako...eti happy birthday
 
Zikifika comment 100... nitarudi
 
Copied and pasted from Le Mutuzz.
Ingawaje ye hakutaja jina we umeamua kumlipua....
 
Kiba ni kwamba ni mpole na mkimya....hanaga time ya kujigamba kuongea ongea pasipo sababu...kiufupi jamaa ni mkimya ila mziki wake ni mzuri

Mwisho wa siku tunachojali ni matunda ya mziki na sio jitihada za kufollow au kuwawish birthday wenzie
Aisee kiba ana dharau ile mbaya n majigambo sema ujawahi bahatika kukaa krbu nae ndo maana unamuona mpole pole on camera ila off camera utoamini
 
we ukapimwe akili ali tangia arudi amekuwa ni moto niambie msanii yupi bongo analipwa pesa kubwa baada ya diamond unaongea pumba
hatuongelei kulipwa!
tumeongelea ubinafsi, na uchoyo
kiba ni mbinafsi, anajikweza kupita maelezo
ndio maana hata ben alimwambia kiba ni overrated!!

anasifiwa kuliko uwezo wake
mashabiki zake mnajitahidi sana kumweka juu..
ili hali mwenyewe hana habari wala hana shukrani!!
na kiba mashabiki zake ni anti diamond!
watu wasiopenda mafanikio ya diamond, hamna lolote

na huyo kiba hio ela madafu anayolipwa mpaka leo kaifanyia nini?
show mpaka mombasa kenya!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
em nieleleze manufaa ya kiba?!!! ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…