princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
kiba anakaa wapi kwani??[emoji23][emoji23]Nyie mnataka awe na maendeleo gani?
swali..
Vipi nyie mmemzidi maendeleo?
MNAICHUKULIAJE HII;
Mtu anayetoa msaada kwa kujitangaza kwenye media kuwa katoa mchango..
Au mtu ambaye hajitangazi kwenye media wakati akitoa mchango, Ni yupi bora hapo?
Mkinijibu hili swali hapa juu[emoji115] , Mtakuwa mmeshapata jibu la swali lenu
Weka screen shot usibwabwaje ukishindwa tengua kauliCopied and pasted from Le Mutuzz.
Ingawaje ye hakutaja jina we umeamua kumlipua....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , Kibakuli saizi yake Gigy machupi hana uwezo wa kummiliki TundaHance mtanashati si bure toka ufahamu Ali alimkaza tunda umepaniki sana
hiyo nimetolea mfano tu maana ningeanza kumuelezea kimoja baada ya kingine thread ingekua ndefu sanaMkuu umeleta Uzi ukiwa hujafanya uchunguzi wowote Kuhusu kiba..... Kingine hata kama sivyo , Ali kiba kazi yake mziki au kuwish watu happy birthday mitandaoni.... Inaonekana unapenda sana maisha ya kujionyesha na kujitangaza kwa watu tukikuchunguza vizuri.... Jamaa ana life style tamu sana... Usi force MTU kuishi unavyotaka wewe
CHUKI BINAFSI HAINA NAFASI KWENYE JAMIIWadau nauliza tu hivi TZ kuna msanii yeyote anayemzidi Ally Kibakuli kwa ubinafsi na unafiki??
Kibakuli namuona mbinafsi na mnafki kwa kuwa sijawahi kuona hata mara moja akimu wish mtu yeyote siku ya kuzaliwa au kumpa pongezi yoyote msanii mwenzake ikiwemo kumpost kwenye mitandao ya kijamii kwa kumpa pongezi
Pia sijawahi kuona Kiba akisifia cha mwenzake kutoka moyoni kusifia kwake ukimuangalia usoni unaona kabisa hii pongezi haijatoka moyoni
Mimi navyoona Kiba alivyokuwa mdogo alikuwa akiimbiwa afiche vitu anavyonunuliwa ili atumie peke yake au hata chakula inawezekana alikuwa anakula chobingo akimaliza ndo anaenda kwa wenzake ,maana duuuuuh huyu jamaa ana roho mbaya alafu mbinafsi kichizi
We chukulia mfano insta ana followers millioni moja na ushee lakini yeye hamfollow mtu yeyote yule sasa kama huu sio ubinafsi ni nini??
View attachment 415252
Watu wa karibu wa Ally Kibakuli mshauri abadilike bhana la sivyo hata ikiwezekana iko cheo chake cha ubalozi wa wanyama anyang'anywe tu balozi gani ana roho mbaya namna hii kwa binadamu wenzake ataweza kupenda wanyama kweli??
wala sina chuki nae bali mwambieni mtu wenu abadilike aache ubinafsiCHUKI BINAFSI HAINA NAFASI KWENYE JAMII
Au unataka tukuletee screenshot ya watu aliowawish hiyo birthday.hiyo nimetolea mfano tu maana ningeanza kumuelezea kimoja baada ya kingine thread ingekua ndefu sana
Pengine mtazamo wako kwake ni hasi kwani huyu jamaa anapendwa na wengi na katika udhaifu wake hayo uliyoyaandika ni wewe tu uliyeyaona???wala sina chuki nae bali mwambieni mtu wenu abadilike aache ubinafsi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiiii nimecheka sanaView attachment 415257[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
hahahah umenifanya na mie nicheke kwanguvu nifah nilikuwa namchokoza hanse maana yeye ndo anajifanya anampenda sana huyu tunda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiiii nimecheka sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji31] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , Kibakuli saizi yake Gigy machupi hana uwezo wa kummiliki Tunda
Ahahah hivi wanatumia 'maji' gani maana hata sista yangu amekuwa kama tundaView attachment 415257[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Wadau nauliza tu hivi TZ kuna msanii yeyote anayemzidi Ally Kiba kwa ubinafsi na unafiki??
Kiba namuona mbinafsi na mnafki kwa kuwa sijawahi kuona hata mara moja akimu wish mtu yeyote siku ya kuzaliwa au kumpa pongezi yoyote msanii mwenzake ikiwemo kumpost kwenye mitandao ya kijamii kwa kumpa pongezi
Pia sijawahi kuona Kiba akisifia cha mwenzake kutoka moyoni kusifia kwake ukimuangalia usoni unaona kabisa hii pongezi haijatoka moyoni
Mimi navyoona Kiba alivyokuwa mdogo alikuwa akiimbiwa afiche vitu anavyonunuliwa ili atumie peke yake au hata chakula inawezekana alikuwa anakula chobingo akimaliza ndo anaenda kwa wenzake ,maana duuuuuh huyu jamaa ana roho mbaya alafu mbinafsi kichizi
We chukulia mfano insta ana followers millioni moja na ushee lakini yeye hamfollow mtu yeyote yule sasa kama huu sio ubinafsi ni nini??
View attachment 415252
Watu wa karibu wa Ally Kiba mshauri abadilike bhana la sivyo hata ikiwezekana iko cheo chake cha ubalozi wa wanyama anyang'anywe tu balozi gani ana roho mbaya namna hii kwa binadamu wenzake ataweza kupenda wanyama kweli??