Hivi Tanzania kuna msanii yeyote anamzidi Ally Kiba kwa ubinafsi na unafiki?

Mbinafsi sana huyu jamaaa
 
Ngoja siku akimu-wish birthday Tiffany,Zari au Diamond ndio utamkubali
 
Jamaa ndio maisha yake hayo kama inapita wiki hapopost kitu kwenye ukurasa wake hata picha yake tu unategemea apost picha mwinngine
 
We ni mwanaume wa buguruni bila shaka
 
Mbona wenzie wanamuwish bila kulalama kuwa hajawawish means hawaoni ubinafsi wewe sasa sijui ndo unataka akuwishi
 
Sawa tumekuelewa ila huwa nashangaa why kiba kiba kiba humu anazungumzwa kama mwanamziki asiye na mafanikio lakini haishi kuanzishiwa mada kibao..kwanini isiwe Mr. Nice au Juma nature..
 
Hhahaahaa.. haya ngoja wadau wake waje wajibu hii hoja
 
Yeye anawapigiaga simu hataki haya mambo yenu ya Instagram.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…