Hivi Tanzania kwasasa kweli kuna uhuru wa maoni (Freedom of Speech)?

Kijana wa Ifoza

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2025
Posts
1,180
Reaction score
2,302
Hivi siku hizi Tangu waingie madarakani kuna Uhuru kweli wa maoni?

Maana ukiisema Serikali Mama Mkwe naye anakuja na vijembe, huku Mkwe nae anakuja na maelekezo usisahau kuna Swaiba wa Mama anaitwa Baba Keagan nae anakuja na ngonjera zake.

Watu tukisema Katiba mpya ni muhimu ili kurudisha madaraka kwa wananchi mtuelewege.

​
 
mtu asiongee ukweli wanakimbilia kumchukulia hatua alooo kazi kweli kweli
 
Upo wa kumuimbia mapambio mtawala na kuwabagaza wanaomkosoa mtawala!
 
mtu asiongee ukweli wanakimbilia kumchukulia hatua alooo kazi kweli kweli
Kwasababu tumewapatia sana ukubwa kuliko sisi tunaowalipa mishahara. Imagine Mtanzania ana sauti nje ya nchi kuliko nchini kwake. Katika nchi zinazojua haki za wananchi huwezi kuona Rais ama Mkuu wa Mkoa hata waziri anawambia Polisi wamchukulie mtu hatua sababu idara ya Sheria ama Ofisi ya Mwanasheria Mkuu inakua huru na haingiliwi na rais wala mkuu wa mkoa.
 
Tanzania kuna uhuru wakati wa kutoa maoni. Lakini hakuna uhuru baada ya wewe kutoa hayo maoni. 😊
 
Serikali ya wapumbavu, kuanzia juu mpaka chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…