Hivi tanzania ni nchi huru?

Hivi tanzania ni nchi huru?

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Habari wanajamvi. Kutokana na mambo yanayoendelea hapa nchini napatwa na wasiwasi kama hii inchi bado ni huru kiuhalisia. Naombeni tupitie kwa umakini zile factor muhimu ambazo huzongatiwa ili nchi isemekane ni huru. Nawakilisha.
 
Duuuh wewe jamaa..upo serious kweli..labda tungeaza na wewe ungetoa mifano ya vitu vilivyokufanya ufikirie au kuona tanzania sio nchi huru..!!
 
Back
Top Bottom