Dadio JF-Expert Member Joined Mar 14, 2012 Posts 359 Reaction score 42 Jul 1, 2013 #1 Habari wanajamvi. Kutokana na mambo yanayoendelea hapa nchini napatwa na wasiwasi kama hii inchi bado ni huru kiuhalisia. Naombeni tupitie kwa umakini zile factor muhimu ambazo huzongatiwa ili nchi isemekane ni huru. Nawakilisha.
Habari wanajamvi. Kutokana na mambo yanayoendelea hapa nchini napatwa na wasiwasi kama hii inchi bado ni huru kiuhalisia. Naombeni tupitie kwa umakini zile factor muhimu ambazo huzongatiwa ili nchi isemekane ni huru. Nawakilisha.
Lyamber JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 11,716 Reaction score 18,828 Jul 2, 2013 #2 Duuuh wewe jamaa..upo serious kweli..labda tungeaza na wewe ungetoa mifano ya vitu vilivyokufanya ufikirie au kuona tanzania sio nchi huru..!!
Duuuh wewe jamaa..upo serious kweli..labda tungeaza na wewe ungetoa mifano ya vitu vilivyokufanya ufikirie au kuona tanzania sio nchi huru..!!