Hivi Tausi ana mtoto ?

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
hivi huyu ni mtoto wa Tausi au wa mdugu yake?maana najiuliza mtu mfupi hivi anaweza beba mimba? Na akajifungua salama kabisa? Sijawaj ona mtu mfupi namna hii kabeba ujauzito,,au ni mim tu mnieleweshee
 
Tausi nadhan hana mtoto ila ana dada yake nae mfupi hivyo hivyo huyo ana mtoto. Wanaweza kubeba mimba na kujifungua watoto kama kawaida,mtoto anaweza kuwa mfupi kama yeye au mrefu kama kawaida.
 
Kusema kwamba hawazai ni propaganda tu,
hao wanazaa kama kawaida
 
Wanazaa mkuu, ila wana wivu sijawahi ona, kiruuuuu, hapana aise, yaani kuna kamoja hako mpaka toi kanasindikiza some time
 
Nimevutiwa na mkia wa tausi.....[emoji39] [emoji39]
 
We sasa wao wanazalianaje kama hawabebi mimba
 
Mi Nampenda huyo Tausi kama mtu anamawasiliano naye aniPM tufanye maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…