Hivi Tausi waliopelekwa JS Hotel hapo awali nani aliidhinisha? Nani mmiliki?

Tausi was Ikulu Dar wapo mpaka maeneo ya DIT na CBE pale hakiba.ni kweli bwana Pasko tausi wa ikulu awakai tu ikulu Bali maeneo yote yanayopakana na ikulu ya Dar es salaam.kule ocen road hospital mpaka viwanja vya gofu gymkana na ata Serena hotel tausi wapo
 
Mpaka pale makaburi ya kisutu wapo ukienda kuzika utawaona
 
Nadhani tausi wa Magogoni pia ndiyo huranda randa mpaka kule hospitali ya Ocean road. Bila shaka wana tabia ya uzururaji hawa viumbe.
 
Inaitwa JS Motel,wewe unao wangapi hao Tausi?
 
Inaitwa JS Motel,wewe unao wangapi hao Tausi?
Sisi ni communal society, akiwa nao blaza ndio wetu wote. Ukiondoa wale tausi wa Ikulu ya Magogoni, tausi wa pili ni wa Ikulu ya Chato na nadhani wamesambazwa Ikulu zote.
P
 
JS hotel ndio ile hotel ya Chato ambayo mwendazake aliwahutubia wakuu wa vyombo vya usalama kipindi mile korona imepiga hodi Tz na mtaani kukawa na tetesi JPM ameikimbia Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…