comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Kuuzwa laki mbili sio kigezo cha kuwa fekimtu unatafuta godoro kwa mfano qfl au Tanfoam, Bei ya godoro original kwa mfano ukubwa wa 5*7 12" ni zaid ya laki 5, lakini Kuna fake yapo Hadi kwa laki 2.
hivi inakuaje haya feki yanauzwa watu wanapigwa sana serikali inakua wapi? Tena walivyo wahuni wanakufanyia delivery wanakuletea Hadi nyumbani mzigo fake.
Yani kwamba unanishawishi ninunue qfl ya laki 2 kwenye maduka ya kawaida, itakua sawa na inayouzwa zaid ya laki5 kutoka kwenye mawakala wao official?Kuuzwa laki mbili sio kigezo cha kuwa feki
Nahisi wachina wanatoa ma lonya kama kawaida Yao, nimeona Moja linaitwa TUF Foam, wanatembelea mulemule na majina wanafananishaBusiness as usual.TBS na maafisa maendeleo ya jamii kwenye kata na vijiji wana tofauti gani?Wapo likizo ndefu za uzazi.
Ndiyo nchi rafiki wa Tanzania hao.Nahisi wachina wanatoa ma lonya kama kawaida Yao, nimeona Moja linaitwa TUF Foam, wanatembelea mulemule na majina wanafananisha
Hatari sanakama hata liserekali lenyewe feki unategemea kuna taasisi itakuwa genuwine? unashangaa maiti mochwari loh.